Breaking News

Your Ad Spot

Nov 21, 2014

FM ACADEMIA, YAMOTO BAND NA BARBANAS KESHO KUFANYA ONESHO MAALUMU LA USIKU MWEUPE UKUMBI WA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa onesho hilo, William Malecela (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu onesho hilo. Kutoka kushoto ni Balozi wa wa Serengeti Platinum, Mizengo Mkayala na Meneja wa Bia ya Serengeti Platinum, Elihuruma Ngowi wadhamini wa onesho hilo.
Meneja wa Bia ya Serengeti Platinum, Elihuruma Ngowi  (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Smart lets talk, Robert Lee, ambao wamedhamini onesho hilo.
Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa Kampuni ya Smart lets talk, Robert Lee, akizungumza katika mkutano huo.(Imeandaliwa na mtanddao wa www.habarizajamii.com)
Mratibu wa onesho hilo, William Malecela (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu onesho hilo.
Mkutano ukiendelea.
Wanamuzi wa band ya Yamoto wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Mbwana Yusuph 'Maromboso' Bakari Katuti 'Beka One' na Aslay Isihaka 'Aslay"
Wanahabari wakichukua tukio hilo.
Mwanamuziki Barbanas (katikati), akitoa burudani fupi katika mkutano huo.
Mwanamuzi Nyoshi Al- Sadaat naye akitoa burudani.(Imeandaliwa na mtanddao wa www.habarizajamii.com)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages