Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma. Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
Festo Kuziganika mkazi na mkulima wa zabibu katika katika Kijiji cha Mbabara, Manispaa ya Dodoma akimuelekeza jambo Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao hilo kwa masomo ya Sekondari,Saimon Chibehe (kulia) aliyekwenda hivi karibuni kuwatembelea wakulima hao.
Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (wa pili kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkulima Juliana Masukwi (kulia), kuhusu utunzaji wa zao hilo, alipotembelea hivi karibuni shamba hilo katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma. Wa pili kushoto ni mmoja wa wakulima wa zabibu katika Kijiji hicho, Festo Kuziganika. Watoto wa wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo wa kulipiwa masomo.

Mkulima Juliana Masukwi mkazi wa Mbabara A', mkoani Dodoma akimuonesha mti wa mzabibu Mratibu wa Mpango wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao hilo kwa masomo ya SekondariSaimon Chibehe (hayupo pichani), ambaye hivi karibuni alitembelea shamba lake lililomwezesha mtoto wake aanze kufadhiliwa na kampuni ya Konyagi kielimu kwa masomo ya sekondari.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269