Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipoingia
katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa
mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Command Surgeo Usafricom Philip C
Knight Sheen alipoingia katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa
kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Nchi Tano za
mataifa mbalimbali walioshiriki katika mkutano wa kujadili namna ya
kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano
uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar
Command Surgeo Usafricom Philip C
Knight Sheen akitoa hotuba yake katika mkutano wa kujadili namna ya
kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano
uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa
Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd kitoa hotuba yake katika mkutano wa
kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza
kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni
Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba katika mkutano wa kujadili namna ya
kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano
uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Idi akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi
tano za mataifa mbalimbali waliohudhuria mkutano wa kujadili namna ya
kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano
uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269