Kikosi
cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko
Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya
Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa
wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony
Masamba.
Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama “Mashauzi” mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).
Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya viwanja vya Leaders Club.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269