Mrembo
na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja
amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya
ufukweni mjini Bagamoyo.
Mbali
na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi
wamemshabulia kuwa mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena
amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na
wa muacha afurahie maisha yake.
Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers” kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269