Breaking News

Your Ad Spot

Feb 12, 2015

VIONGOZI WA DINI WAJITOSA MAPAMBANO DHIDI YA UJANGILI

 WAZIRI WA Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza katika mkutano wake na viongozi wa dini mbalimbali uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree mjini Dar es Salaam, leo. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi wa juu wa dini mbalimbali masuala mbalimbali kuhusiana na madhara ya ujangili wa wanyama kama tembo na faru yalijadiliwa.
 Viongozi wa dini mbalimbali wakimsikiliza Nyalandu
Waziri Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini mbalimbali baada ya mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages