Mwenyekiti
wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono
chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi
Mbalimbali.
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha, akiwasalimia wanachama kwa Salam ya chama hicho
Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe. akizungumza na wanachama Mbalimbali toka Nje na Ndani ya Dar es Salaa katika uzinduzi wa chama hicho na kuwaomba wanachama popote walipo waipigie Kura ya Hapana Katiba Pendekezwa.
Kikundi
cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa
kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo
Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wanakikundi
wa kasimbo Asili, toka Mkoa wa Kigoma Kijiji cha Nyarubanda Kataa ya
Mkigo Wilaya ya Kigoma wakitoa salam ya Chama hicho wakiwa wanajiandaa
kuingia kwa Nyimbo za Ali ya Mkoa wao katika Mkutano wa Uzinduzi wa
Mkutano wa Alliance for change and Transparecy (ACT)
Baadhi ya Wafuasi wa Chama hicho wakiingia Ukumbini
Msanii
Afande Sele akiwa na wanachama wa Alliance for change and Transparecy
(ACT) katika Picha ya pamoja kwenye Uzinduzi wa Chama hicho
Baadhi
ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo
kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa
Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Msanii wa Makomando Said Christopher akisalimia Viongozi alipopanda juukwaani na mwenzake
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa Elisha akisalimiana na
Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe mara alipo maliza kuzungumza na wafuasi wa chama hicho
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa Elisha akisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Angilikana Gerald Mpango baada ya kuzungumza na Wanachama
Afande Sele akiwa Jukwaani akitumbuiza
Wasanii wa Kikundi cha Makomando wakitoa Burudani, kulia ni fred felix na Said Christopher
Wafuasi wa chama hicho wakijiandikisha na kupatakadi ya Uanacha
Wanachama
Mamia wajitokeza Uzinduzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zitto Kabwe akisoma Fomu ya Chama hicho inayomtaka kila mwanachama Ngazi ya juu atangaze Mali zake
Kasimbo Asilia ikitoa Burudani katika Mkutano wa chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi
Kasimbo Asili ni Kikundi cha Usambere kutoka Mkoa wa Kigoma katika
kijiji cha Nyarubanda Kataa ya Mkigo Wilaya ya Kigoma ikitoa burudani,
pichani ukiona wakiruka na kupokezana kwa katika kucheza.
Wanachama
Mbalimbali wakifatilia kwa makini katika Mkutano wa Uzinduzi wa chama
hicho Dar es Salaam leo katika Ukumbi wa Alliance for change and
Transparecy (ACT)
Vikundi mbalimbali Vikitoa maigizo katika Uzinduzi wa Chama hicho
Wanachama wakijipanga wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee
Wanachama
wakijipanga mikono wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia
kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee na baadhi ya wanachama
wakipunga mikono kwa kuonyesha alama ya chama chao
(kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo (kushoto) ni Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Ulipoimbwa wimbo wa Mungu Ibariki.
Wanachama wakiimba Wimbo wa Taifa
.Katibu Mkuu ACT Tanzania Samson Mwigamba akizungumza na wanachama alipokua akifafanua jambo (PICHA NA
KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269