Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu ulidhaminiwa na
Tanzania Distillaries LTD (TDL) Saimon Chibehe akizungumza jambo na
wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa Kata ya Handari wilayani
Chamwino, Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.
Mratibu
wa Mpango wa Somesha Mtoto wa Mkulima wa zabibu unaodhaminiwa na
Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distillaries LTD (TDL), Saimon Chibehe
akizungumza jambo akizungumza na Wazazi, Walezi ambao ni wakulima wa
zabibu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpunguzi iliyopo
Manispaa ya Dodoma, MWISHONI MWA WIKI.
Mwanafunzi
wa Kidato cha Tatu wa Shule ya Sekondari Mvumi, mkoani Dodoma, Nuru
Peter akiwa katika shamba la Zabibu la Wazazi Wake wakati alipofika
kumuonesha Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu
ulidhaminiwa na Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distillaries LTD (TDL)
Saimon Chibehe (hayupo pichani) mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269