Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora
wanazozitoa kwa wateja wao.[/caption][caption id="attachment_56375"
align="aligncenter" width="800"]
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza
wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea
ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa
PSPF.[/caption][caption id="attachment_56372" align="aligncenter"
width="800"]
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati
baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi
hizo jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_56374"
align="aligncenter" width="800"]
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.[/caption][caption
id="attachment_56373" align="aligncenter" width="800"]
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia) akizungumza wakati
baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi
hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa
PSPF.[/caption]
Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN),
watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.
Mmoja wa maofisa wa mfuko wa PSPF akitoa ufafanuzi Wakati baadhi ya
wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds
FM walipotembelea makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Mkutano kati ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN),
watangazaji wa Clouds FM pamoja na maofisa wa mfuko wa PSPF ukiendelea.
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha
baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora
wanazozitoa kwa wateja wao.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa mkutanoni na maofisa wa mfuko wa PSPF wakati
walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa
kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Mmoja wa watangazaji kutoka Clouds FM, Gerald Hando akiuliza swali
kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata
maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa.
Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kushoto) akitoa ufafanuzi
wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea
ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji
wa Clouds FM wakiingia kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo
wa kisasa.
Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye kitengo cha uhifadhi kumbukumbu kwa mfumo wa kisasa kupata maelezo namna kumbukumbu za wanachama zinavyohifadhiwa. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM wakiwa katika moja ya jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi. Muonekano wa taswira ya jiji la Dar es Salaam ukiwa katika jengo refu kupita yote nchini Tanzania ambalo limejengwa kama kitega uchumi na mfuko wa PSPF, jengo hilo lina eneo maalumu la shughuli za biashara na makazi.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269