Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Baraza la Wafanyakazi wa
TANROADS mkoani Morogoro. Waziri Magufuli amewapongeza TANROADS kwa
utendaji kazi wao mzuri ujenzi wa Barabara nchini.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala
kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.TANROADS
imepata TUZO ya mfanyakazi bora na mwajiri bora kutoka TAMICO.
Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa ameshikana mikono na
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara, TANROADS Eng. Patrick Mfugale
kushoto pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe kulia
wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima kabla ya ufunguzi wa Baraza la
Wafanyakazi wa TANROADS.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269