Sheikh Aboubakar Zuberi Mufti Mpya.
Baadhi ya viongozi walipokuwa wakimsubiri Kaimu Mufti katika Ofisi za Bakwata zilizopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam
Kaimu
Mufti wa Tanzania, Sheikh Zuber (wa katikati) akizungumza waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi
hiyo (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.
Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa mamlaka kamili.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269