Tumpale
John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake
Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati
wa sherehe za kumuaga .
Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwa
Bibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini
Bi
Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake
Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi
mtarajiwa Venance Matinya
Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica
Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akimlisha keki Mpambe wake Monica
Baba Mdogo wa Tumpale John Mwaisango akitoa neno kwa Binti yake na neno la Shukurani
Daniel
Shipela (Kushoto) Baba Mzazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa Jeofrey Shipela
na Mama Mkubwa wake Elizabeth Njeje (kulia) wakitambulishwa
Mbele kwa Mbwembwe za aina yake na kwa umahili Mkubwa Bwana Charles Mwaipopo akifungua Shampeni , wakati wa Sherehe hiyo
Bibi Harusi Mtarajiwa akimrisha Chakula bwana Harusi Mtarajiwa
Kutoka
kulia ni Fredy Anthony Njeje, Grace Mwasote na Njuguna Karanja Marafiki
wakubwa wa Joseph Mwaisango wakiwa katika Sherehe
Baba Mchungaji ambaye ni Baba yake Mdogo wa Tumpale akimpa Mkono wa Pongezi
Mbele ni Baadhi ya kaka zake na Bibi Harusi Mtarajiwa wamewakajeee...
Joseph
Mwaisango kaka Mkubwa wa Tumpale John Mwaisango akimkabidhi zawadi
mdogo wake Bibi Harusi Mtarajiwa , Fedha ambazo zitamsaidia ambapo
anaenda kuanza Maisha na kumuaga rasmi.
Baadhi ya watu walikuwepo katika Sherehe hiyo
Huyo anaondoka baada ya kumaliza Sherehe
Bibi
Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango kuelekea katika Sendoff yake
aliona bora asherekee pia na watoto yatima na waliokuwa wanaishi katika
mazingira magumu cha Nuru hapa akiwapa zawadi
Baadhi ya Vitu ambavyo alipeleka katika kituo hicho
Huko Nyumbani pia kulikuwa na Sherehe ya kumuaga Binti Tumpale Mwaisango, Hapa Baba Mdogo akitoa Neno la Shukurani
Sherehe ikiendelea Nyumbani
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269