Gari lenye namba za usajili T 717 CKF likiwa limeacha njia na kuligonga gari jingine maeneo ya kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro ambapo chanzo cha ajali hakikuweza kupatikana maramoja (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Ajali ya gari zikiwa zimegongana katika kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro
Jitihada zikiendelea kuyaondoa magari hayo
Gari lenye namba za usajili T 399 CRE likiwa linaandaliwa kuvuta magari hayo eneo la tukio
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269