Balozi
wa Marekani Nchini Tanzania, Mark Childress akizungumza katika
Kongamano hilo lililohusu Ndoto Kubwa ya vijana kabla ya uchaguzi mkuu
na baada ya uchaguzi lililofanyika jana Hoteli ya New Afrika jijini Dar
es Salaam.
Mwakilishi kutoka Taasisi ya Ekihya, Lillian Secelela akiongoza kongamano hilo.
Mtaalamu
wa masuala ya vijana, Humphrey Polepole, akizungumza katika kongamano
hilo. Polepole alikuwa mmoja wa wageni kwenye kongamano hilo na
alichangia mada kadhaa sanjari na wenzane watatu, ambao ni Modesta
Mbughuni, Nick Two, Emelda Mwamanga na Chikulupi Kisaka.
Modesta Mbughuni akichangia mada katikaaaaa kongamano hilo.
Chikulupi Kisaka akichangia mada kwenye kongamano hilo.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye kongamano hilo. Wa tatu kulia ni Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Mark Childress
Emelda Mwamanga akichangia mambo mbalimbali kwenye kongamano hilo.
Wasanii wakitoa burudani katika kongamano hilo.
Wadau mbalimbli wakiwa kwenye kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
Wadau wakiwa kwenye kongamano hilo lililofanyika New Afrika Hotel Dar es Salaam jana.
Mwanaharakati Maria Sarungi akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mwanasheria Onesmo Olengurumwa akichangia jambo katika kongamano hilo.
Bloger William Malecela 'Limtuz' akichangia jambo.
Mpambanaji Rose Ndauka akichangia jambo.
Mwenyekiti
wa Asasi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Peoples D'sasitees
Organization (TAPWIDO), Michel Mwanzalima akichangia jambo kuhusu watu
wenye ulemavu ushirikishwaji wao katika uchaguzi.
Mtaalamu wa masuala ya kijamii, Khalila Mbowe akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mmoja
wa maofisa wa Taasisi ya Tanzania Bora Initiative, Geofrey Nyombi
akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu kongamano hilo.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269