Waandishi wawili wa
habari wamepigwa risasi katika jimbo la Marekani la Virginia wakati
wakifanya mahojiano ya moja kwa moja ya runinga.
Kanda ya video inaonyesha mwandishi wa habari wa kike akimtania mgeni aliyekua akimuhoji kabla ya risasi kufyatuliwa mara nane.
Mwandishi
huyo anaonekana akiruka na kamera kuanguka sakafuni huku mwanamume
aliyevalia nguo nyeusi na kubeba bunduki akipita karibu.
Kituo
kilichoajiri waandishi hao cha WDBJ kinasema mwandishi huyo wa habari
Alison Parker na mpiga picha Adam Ward walikufa katika tukio hilo .
Polisi wanasema mshukiwa hajulikani aliko. |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269