Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia
Katibu wa CCM mkoa wa Morgoro Rojas Rumuli wakati wa mapokezi yake,
alipowasili mkoani Morogoro kufanya mikutano ya kameni katika mkoa huo
leoMgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia
mgombea Ubunge Jimbo la Gairo, Ahmed Shabby wakati alipowasili mkoani
Morogoro, kufanya mikutano ya kampeni mkoani humo.Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwapungua
mkono wananchi waliofika kumlaki alipowasili mkoani Morogoro leo. Kulia
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa na wapili ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Inocen Karogeresi Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili
kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Gairo A, kuhutubia mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika jimbo la Gairo mkoani Morogoro.Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jimbo la Gairo leo.Katibu
wa CCM, mkoa wa Morogoro, Rojas Romuli akihutubia wananchi katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi
Gairo A katika jimbo la Gairo mkoani MorogoroMgombea
Ubunge jimbo la Gairo Sadik Ahmed Shabiby akihutubia wananchi atika
mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani
Morogoro.Umati
wa wananchi ukiwa umefurika kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Gairo A,
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Gairo Mkoa Morogoro.Mwananchi
akionyesha bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk.
John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo
la Gairo mkoani MorogoroMbunge
wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha akimvalisha kanga za CCM, Bibi
Fatuma Farijala, baada ya kuona mavazi yake yamechakaa, akiwa mmoja wa
wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika
jimbo la Gairo mkoani Morogoro
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269