Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 70
wa Umoja wa Maiataifa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa
Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe
Yussuf Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Liberata
Mulamula
Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen
Rais Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na
ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa
Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha
Zanzibar Mhe Yussuf Mzee, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi
Liberata Mulamula na .Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa
Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.
Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Bahamas Mhe Perry Christie. Hapo Mhe
Rais alimfahamisha Waziri Mkuu huyo kwamba yey anamaliza muda wake na
Waziri Mkuu akaeleza matumaini yake kwamba atakayemrithi ataendelea
kuimarisha uhusisno wa Tanzania na Bahamas na nchi za Caribbean.
Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje
Rais Kikwete na Ujumbe wake wakimlaki Baba Mtakatifu Francis
alipowasili kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza. Picha kwa
hisani ya Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269