Mgombea
Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na
wananchama na wafuasi wa Chama hicho Dar es Salaam jana wakati wa
mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa tatu kulia) na Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani na wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa Jimbo hilo Amhad Mnamala.
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa kwanza kulia) na Mdombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakipandisha Bendera ya Chama hicho kuashiria uzinduzi wa Shina la wakereketwa no, 1. Tawi la Maghorofani
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akipokea Risala kutoka kwa Katibu wa Shina hilo Zuzana Manamba
Shamra shamra za uzinduzi wa Kampeni kata ya 14 viwanja vya Shule ya Msingi Madenge Temeke
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269