Breaking News

Your Ad Spot

Sep 23, 2015

PAPA FRANCIS AMEANZA ZIARA YAKE YA NCHINI MAREKANI

Papa Francis ameanza ziara yake ya nchini Marekani, ambapo anatarajiwa kuwasalimia mamilioni ya wakatoliki wa taifa hilo na kuongelea masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa na kukosekana kwa usawa wa kipato.
Rais Barack Obama wa Marekani alimlaki kwa kumkaribisha Papa Francis Marekani alipotua kwa ndege ikiwa ni heshima adimu kutolewa kwa mkuu wa taifa hilo kwa mgeni kutoka nje ya nchi.
Katika ziara yake hiyo Papa Francis atatembelea miji ya Washington DC, New York pamoja na Philadelphia.
Rais Barack Obama akisalimiana na Papa Francis 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages