Wasanii
wa Kikundi cha Big Star wakitowa burudani kwa wimbo maalum wa Kapeni
wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk
Shein.zilizofanyika katika viwanja vya mpira vya Urafiki mikunguni
Unguja
Wanachama
wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika viwanja vya mkutano wa mkgombea
Urais wa Zanzibar kwa kupitia CCM wakishangilia kwa kupeperusha bendera
za Chama wakati wa mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya mpira
urafiki mikunguni Zanzibar,
Mwanachama wa CCM akishangilia kwa kuonesha picha ya Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Mhe Borafya Silima akiwahutubia wananchi katika
viwanja vya urafiki mikunguni akielezea mafanikio ya CCM yaliopatika
kutokana Ilani ya Uchaguzi ya miaka mitano ya Dk Ali Mohamed Shein,
wakati wa mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika
viwanja hivyo.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Seif Aki
Iddi wakiwa katika jukwaa kuu wakati wa mkutano wake wa Kampeni
uliofanyika katika Jimbo la Shaurimoyo Wilaya ya Mjini Amani Kichama
katika viwanja vya mpira vya urafiki mikunguni. (P.T)
Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Haroun Ali Suleima akiwahutubia wananchi na
kuzungumzia Ajira wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Uliofanyika katika Jimbo la Shaurimoyo
Zanzibar.
Mbunge wa
Jimbo la Kwahani Mhe Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwahutubia
Wanancxhi katika mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar na
kuelezea Ajira kwa Vijana katika Serikali ya Muungano wakati wa mkutano
huo uliofanyika katika viwanja vya mipira vya urafiki Zanzibar.
Wanachama
wa CCM wakifuatilia mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar katika uwanja
wa mpira wa urafiki mikunguni Zanzibar uliohutubiwa na Mgombea Urais wa
Zanzibar Dk Shein.
Balozi
Amina Salim Ali akiwahutubia Wananchi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya
mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, uliofanyika katika viwanja vya
urafiki na kutowa Salamu za Umoja wa Mataifa kuhusiana na Zanzibar
kupiga hatua katika suala la Ajira kwa Vijana.
Mjumbea
wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia wananchi na
kuwataka Vijana kupamba maskani zao ili kusherehekea ushindi wa CCM
katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, na kuelezea jinsi ya mafanikio ya
Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano ya Uongozi wa Dk Shein,
ilivyosimamia maendeleo katika sekta mbalimbali za Uchumi wa Zanzibar.
na kuwataka kuipigia Kura CCM.chini ya Uongozi wake Dk.Ali Mohamed
Shein.
Wanachi
wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
akiwahutubia na kutangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha miaka
mitano jinsi itakavyotekeleza mambo mbalimbali katika sekta ya Jamii na
kuimarisha maslahi ya Wananchi wa Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia
Wananchi wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar
uliofanyika katika viwanja vya urafiki mikunguni Zanzibar na kuelezea
vipaumbele vya Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ya
Uongozi wake na kuwaomba kumpigia kura ya NDIO ili kuiongoza Zanzibar
kwa mara nyengine tena kutekeleza Ilani hiyo kwa maendeleo ya Uchumi wa
Zanzibar .
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
CCM Jimbo la Amani Zanzibar Mhe Maalim Mussa Hassan wakati wa mkutano
wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
CCM Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJADI wakati wa
mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
CCM Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Jamak Kassim Ali wakati wa mkutano
wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
CCM Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Salim Turky, wakati wa mkutano wake
wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa
CCM Jimbo la Shaurimoyo Zanzibar Mhe Matari Ali Salum, wakati wa
mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi wa CCM Jimbo la Shaurimoyo, Zanzibar Mhe Hamza Hassan
Othman, wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja
urafiki mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Shaurimoyo Mhe Hamza Hassan akipiga pushap baada ya
kutambulishwa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, kuonesha afya yake
iko safi kwa mazoezi na kutaka kazi ya Uongozi.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi wa CCM Jimbo la Amani Zanzibar Mhe Maalim Rashid wakati wa
mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi wa CCM Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Miraji Mussa Kwaza.
wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki
mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi wa CCM Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Rashid Shamsi, wakati
wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni
Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea
Uwakilishi wa CCM Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Mohammed Salum Dimwa,
wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki
mikunguni Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Udiwani
katika Wilaya ya Amani Kichama wa CCM wakati wa mkutano wake wa kampeni
uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni Zanzibar.
Shekh.
akisoma dua baada ya kumalizika kwa mkutanio wa kampeni ya Mgombea Urais
wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya moira vya urafiki Jimbo la
Shauri moyo Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com.
Email. othmanmaulid@gmail.com
Mobile 0777424152 or 0715424152.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269