Breaking News

Your Ad Spot

Oct 12, 2015

MAMA SAMIA AFUNGA KAZI JIMBO LA GEITA VIJIJINI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananch baada ya uwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Joseph Kasheku maarufu kwa jina la Msukuma
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa jimbo hilo,
 Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu, akiwasalimia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mjumbe wa Kamati ya Kamapeni za CCM, Christopher Ole Sendekeakiwahutubia  wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mjumbe wa Kamati ya Kamapeni za CCM, Christopher Ole Sendekeakiwahutubia  wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Vijana wakiwa na bango kufikisha ujumbe kwa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mratibu wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Angela Kizigha, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo  kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Kijana na Makufuli yake mgongoni wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo  kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mratibu wa Kampeni za CCM, Angela Kizigha akiwa na Wema Sepetu wakati wa mkutano huo wa kampeni
 Mkuu wa mkoa wa Gaita, Fatma Mwasa, akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo  kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita, ambapo alisisitiza kuwa serikali ya mkoa imejiandaa vya kutosha kuhakikisha hatua zote za uchaguzi mkuu zitafanyika kwa amani na utulivu katika mkoa huo
Maelfu ya wananchi wakiahidi kuichagua CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, akimuonyesha tukio la kufurahisha, Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM, Christopher Ole Sendeka, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Mgombea Ubunge jimbo la Geita Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Kasheku 'Msukuma' akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita.
 Wananchi wakiishangilia CCM kwenye mkutano huo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages