Kushoto
ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na
Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja
Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na
Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima
hasa wanawake.
Bahati
Muliga(Kushoto) Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano
linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu
yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa akiwa na Meneja wa
utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona, wakiwa katika Studio za
Voice of America.
Meneja
wa Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona akielezea kwa kina
Juu ya Shindano la Mmaa Shujaa wa Chakula na Malengo ya Shindano hilo
na Jinsi gani Kupitia shindano hilo na Kampeni ya Grow ambapo nia ni
kuwawezesha wakulima wadogo wadogo hasa wanawake jinsi walivyofanikiwa,
na mikakati ya Oxfam ya kuendelea kuwasaidia wakulima hao.
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Msimu wa Tatu Bahati Muligaakiongea na
Mwandishi wa Habari wa Voice of America wakati wa mahojiano maalum,
katika mahojiano hayo Bahati alielezea juu ya Shindano la Mama Shujaa wa
Chakula pia Mafanikio yake makubwa aliyoyapata kupitia Shindano
hilo(Video na VOA)
Regards
Tone Multimedia Company Limited
Plot No.223/225 Block 46, Umoja Street
Kijitonyama P.O Box 32529 Dar es salaam Tanzania
Tel +255 22 2772919 Fax +255 22 2772892
E-Mail info@tonemg.com
Facebook: www.facebook.com/blogszamikoa
Web: www.tonemg.com
Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
Attachments area
Preview YouTube video Africa Women Farmers
Click here to Reply, Reply to all, or Forward
0.25 GB (1%) of 15 GB used
Manage
Terms - Privacy
Last account activity: 17 minutes ago
Details
People (2)
Blog za mikoani
Show details
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269