Breaking News

Your Ad Spot

Oct 5, 2015

MAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOANI TABORA LEO

 Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo aliyeshinda, George Kagunda, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tabora
 Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo aliyeshinda, George Kagunda, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tabora
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavica) wilaya ya Igunga, Anuari Kashaga akiisasambua Chadema,  wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tabora
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tabora
 Mdau akiperuzi mtandao katika simu yake
Daudi Nteminyanda, aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Kaskazini- Uyui, kwa tiketi ya Chadema, lakini baadaye Chama hicho kikamuengua na kumuweka Joseph Kidaha aliyehamia Chadema baadaya kushindwa katika kura za maoni, akiichana Chadema, na kudai ni wanafiki katika kila jambo, alipohutubia mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo la Tabora Kaskazini mkoaniTabora
Mgombea Ubunge jimbo la Manonga, wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Seifu Gulamali, akisalimia wananchi akati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Tabora Kaskazini-Uyui mkoani Tabora.
 Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta akiomba kura wakati wa mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo eneo la Usoke, katika jimbo hilo mkoani Tabora.
 Aliyekuwa Katibu wa Chadema wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Obeid Balola akiichana Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Usoke jimbo la Urambo Magharibi mkoani Tabora
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihtubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Usoke, katika jimbo la Urambo Magharibi mkoani Tabora
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM, Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akikumbatiana na Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora. PICHA NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages