Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5,
2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo
na hatimaye kuaga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu
ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa
mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo
jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi
rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima katika Ikulu ya nchi
hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa
mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.
Gwaride
la heshima likipita mbele na kutoa heshima kwa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa
Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo
jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi
rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima wakati akikagua gwaride la heshima
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya akisalimiana na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo
jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi
rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha balozi wa Tanzania nchini Kenya
Mhe. John Haule kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.
Amos Makalla kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Meck Sadick kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha IGP Ernest Mangu kwa mwenyeji wake
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha wageni akishuhudiwa na wenyeji
wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta
Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ofisini kwa mwenyeji wake Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya akisalimiana katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi
leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara
yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5,
2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo
na hatimaye kuaga
Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya katika mazungumzo na ujumbe wa Tanzania katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya katik mazungumzo ya tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya katik mazungumzo ya tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini
Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya
ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya katika tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo
Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake
pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga

Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais
Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu
October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na
mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo
jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi
rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
wakifurahia jambo baada ya picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015
alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na
hatimaye kuaga
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya
Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini
Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo
Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini
humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima katika kaburi la Baba wa Taifa la
Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo
jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua
leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake
nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa
Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi
hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la
maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara
yake nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima katika kaburi la Baba wa Taifa la
Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo
jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua
leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake
nchini humo.
KAburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuzuru kaburi la Baba wa Taifa la
Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo
jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua
leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake
nchini humo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269