Mama Salma Kikwete akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa albamu hiyo.Mgeni
rasmi katika tamasha hilo, Mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara
ya uzinduzi wa filamu ya Bonny Mwaitege, iitwayo ‘Tunapendwa na Mungu’.
Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Joshua Mlelwa akiimba kwa hisia kali. ….Akiendelea kuimba. Mwimbaji Bonny Mwaitege akikamua na wacheza shoo wake. …Shughuli ikiwa imepamba moto.
TAMASHA la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu, lilifanyika jana Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo lilihudhuriwa na wengi.
(Habari / Picha: Brighton Masalu / GPL)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269