Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni
alipofika katika tawi la Azikiwe Premier wakati wa maadhimisho ya Wiki
ya Huduma kwa Wateja. Kushoto ni Mkurugenzi wa tawi hilo, Fabiola
Mussula. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akisubiri kuwahudumia wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwahudumia wateja wa Benki ya CRDB waliofika kupata huduma katika tawi la Azikiwe Premier.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwahudumia wateja wa Benki ya CRDB waliofika kupata huduma katika tawi la Azikiwe Premier.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwahudumia wateja wa Benki ya CRDB waliofika kupata huduma katika tawi la Azikiwe Premier.(P.T)

Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwahudumia
wateja wa Benki ya CRDB waliofika kupata huduma katika tawi la Azikiwe
Premier.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk.
Charles Kimei wakisubiri kuwahudumia wateja waliofika katika tawi la
Azikiwe Premier.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk.
Charles Kimei wakisubiri kuwahudumia wateja waliofika katika tawi la
Azikiwe Premier.
Dk. Charles Kimei akiwsalimiana na wateja waliofika katika tawi la Azikiwe Premier.
Keki maalum kwa ajili ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akikata keki wakati wa
maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea katika matawi yote
ya Benki hiyo.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula (Katikati)
akisaidiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
kukata keki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimlisha keki mteja wa benki hiyo.
Cheers kwa afya njema.
Mkurugenzi wa tawi la Premier, Fabiola Mussula akigonganisha glasi na baadhi ya wafanyakazi.
Nyasigwa Mhagama akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Mteja wa Benki ya CRDB, Rose Rimoi akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi zawadi mmoja
wa wateja wa benki hiyo, Kundasem Swai ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika Tawi la Azikiwe Premier
jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa tawi la Premier, Fabiola Mussula.
Mkurugenzi
wa tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi
wa Benki hiyo kufanya usafi katika Soko la Samaki la Feri.
Wafanyakzi
wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier wakifanya usafi katika Soko la
Samaki la Feri jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussulu akimkabidhi
vifaa vya kufanyia usafi Mkuu wa Soko la Samaki la Feri, Solomon Mushi
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja wakati
wafanyakazi wa benki hiyo walipofika sokoni hapo na kufanya usafi katika
soko hilo, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussulu akimkabidhi
vifaa vya kufanyia usafi Mkuu wa Soko la Samaki la Feri, Solomon Mushi
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo
wafanyakazi wa benki hiyo walifanya usafi sokoni hapo. Kushoto ni Ofisa
Afya, Dolah Minja.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussulu (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa soko hilo pamoja na
wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la azikiwe wakiwa ndani ya ngarawa baada ya kufanya usafi katika Soko la Feri.
Ngarawa
ikiingizwa baharini kwa ajili ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la
Azikiwe Premier kuanza safari ya kutalii katika bahari ya hindi eneo la
Feri baada kushiriki zoezi la kufanya usafi katika soko hilo..
Ngarawa
ikiingizwa baharini kwa ajili ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la
Azikiwe Premier kuanza safari ya kutalii katika bahari ya hindi eneo la
Feri.
Nahodha akiweka sawa chombo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier wakiwa katika bahari ya hindi eneo la Feri.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier wakiwa katika
bahari ya hindi eneo la Feri baada ya kufanya usafi katika soko la
samaki.
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema kwa mwaka uliopita waliajiri watumishi 600
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269