Gari dogo
aina ya Toyota Corola lenye namba za usajili T 444 CST likiwa
limeangukiwa na lori na kupelekea kifo cha dereva wa gari dogo huku
abiria aliyekuwemo kwenye gari dogo hilo inasemekana ni mzima ila
amekimbia kutokana na kiwewe
Dereva wa
gari dogo aina ya Corola yenye namba T 444 CST akiwa amebanwa na gari
lake mara baada ya kuangukiwa na lori kupelekea kifo cha dereva huyo
papo hapo katika eneo la Veternali Temeke .
Mmoja wa
raia mwema akijitahidi kutoa msaada wa kuutoa mwili wa marehemu ambae
jina lake halikuweza kupatikana mapema ambae pia alikuwa ni dereva wa
gari hilo dogo lililoangukiwa na lori katika eneo la vetenari Temeke
jijini Dar.
Lori likiwa limeanguka chini na kuangulia gari dogo hilo lililopelekea kifo cha dereva wa gari dogo
Gari dogo likiwa limeangukiwa na lori
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269