Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Mama akiwa amekwenda na watoto wake, kumshuhudia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan msafara wa Mgombea huyo ulipoziwa na wananchi katika eneo la Tinde jimbo la Msalala
mkoani Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakishushwa kwenye Pick Up walipowasili kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Wasanii wa Bongo Movie wakiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
Kiongozi wa kundi la kamapeni za CCM la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mangele maarufu kwa jina la Steve Nyerere, akihamaisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
Wasanii wa kundi la kampeni la Ninesttuka, wakishambulia jukwaa
kuhamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga
Mgombea Ubunge jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Jumanne Kishimba, akiomba kura kwa wananchi, katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Shinyanga.
Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Chrisopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
Baadhi ya viongozi wa CCM wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika katika jimbo la kahama leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Angela Kizigha, akisalimiana na Mjumbe wa NEC, Gasper Kileo katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Mgombea Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige akisalimia wananchi wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hasaan ulipozuiwa na wananchi katika eneo la Nundu mkoani Shinyanga leo
Mgombea Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akikimbia kuwahi gari lake, bada ya kusalimia wananchi
wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hasaan ulipozuiwa na wananchi katika eneo la Nundu mkoani
Shinyanga leo
Wananchi wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita leo
Wananchi wakiwa na bango kumfikishia ujumbe, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita
Mgombea ubunge jimbo la Nyang'wale Hussein Amar akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Geita
Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa (kulia) akijadiliana jambo na wajumbe wa kamati ya kampeni za CCM kitaofa, Angela Kizigha na Christopher Ole Sendeka katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyag'wale katika mkoa huo leo
Swaga za wananchi a jimbo la Nyang'wale
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
Oct 11, 2015
Home
Unlabelled
MAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO
MAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269