Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC na Waziri wa ardhi,maji,Makaazi na
Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban akielezea wananchi na wanaCCM kuhusu
suala zima la Uchimbaji wa mfuta katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein akiteta jambo na Naibu katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika
katika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini
Unguja .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein akizungumza na Wanachama
wa CCM na Wananchi wapenda amani katika uwaja wa mpira Nungwi Wialaya
ya Kaskazini A mkoa wa kaskazini Unguja katika mkuatno wa hadhara wa
kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika hivi karibuni.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja Ali Makame Khamis akiwapungia mkono
wanachama na wanaCCM wakati alipoufungua mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya kakszini A Unguja.
Baadhi ya wananchama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein alipokuwa akizungumza
katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya
Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja
Wanachama
wa CCM na Wapenda amani wakinyoosha mikono yao juu kuashiria kuunga
mkono maneno na sera zilizotolewa na mjumhe wa Kamati Kuu ya CCM Khadija
Hassan Aboud wakati wa Mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Nungwi
Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika uwanja wa mpira.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269