Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia
Kyando Mchechu akimkaribisha Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili eneo la Rahaleo Mjini
Mtwara Oktoba 10, 2015.ili kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba
za makazi na biashara unajengwa na NHC.
Sehemu ya majengo ya mradi wa
nyumba za makazi na biashara unaojengwa na NHC eneo la Rahaleo Mjini
Mtwara unavyoonekana sasa.Mrdai huu uliwekewa jiwe la m,singi na Mhe.
Rais wa Tanzania jana.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angela Jasmin Kairuki akitoa maelezo ya namna
Wizara inavyosaidia sekta ya nyumba na kumkaribisha Mhe. Rais kuzungumza
na wananchi waliofika eneo la Rahaleo kushuhudia uwekaji wa jiwe la
msingi kwenye nyumba za makazi na biashara zinazojengwa na NHC.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete akitoa hotuba alipoenda kuweka
jiwe la msingi kwenye mradi wa nyumba za makazi na biashara
unaotekelezwa na NHC eneo la Rahaleo Mjini Mtwara.
Sehemu ya umati wa wananchi
waliofika eneo la Rahaleo Mjini Mtwara kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe
la msingi la nyumba za makazi na biashara zinazojengwa na NHC
uliofanywa na Mhe. Rais Jakaya Kikwete.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia
Kyando Mchechu akitoa maelezo kwa Mhe. Rais Kikwete ya mradi wa nyumba
za makazi na biashara unaojengwa na NHC eneo la Rahaleo Mjini Mtwara.
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete
akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa nyumba za makazi na biashara
unaojengwa na NHC eneo la Rahaleo Mjini Mtwara.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki
wa NHC Bw. Haikamen Mlekio akitoa maelezo ya michoro ya mradi wa Rahaleo
kwa Mheshimiwa Rais mara baada ya kuuwekea jiwe la msingi.
Mheshimiwa Rais Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa sekta ya ardhi wa
kanda ya kusini muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye nyumba
za makazi na biashara zinazojengwa na NHC eneo la Rahaleo- Mtwara.
Mheshimiwa Rais Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHC muda mfupi baada ya kuweka
jiwe la msingi mradi wa nyumba wa Rahaleo Mjini Mtwara.
Mheshimiwa Rais Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya CRJE ya China ambao
ndiyo wakandarasi wa mradi wa nyumba za NHC zinazojengwa eneo la
Rahaleo-Mtwara. Mradi huu utakuwa na Hoteli ya kisasa na nyumba za
makazi 96 ambazo zitauzwa kwa wananchi.
Wafanyakazi wa NHC wa Mtwara na
Lindi wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia
Mchechu(mwenye suti) na Viongozi wa Menejimenti mara baada ya
kufanikisha sherehe za Mheshimiwa Rais kuweka jiwe la msingi katika
mradi wa nyumba wa Rahaleo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269