Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu achangia Kikundi cha Sanaa cha
K & S Alt Vision cha Temeke Jijini Dar es Salaam, Pesa Taslim Tsh.
Milion 3 (PICHA ZOTE NA KAMISI MUSSA)
Mtemvu akizungumza jambo na kikundi cha Sanaa na Viongozi wao
Msemaji wa kikundi hicho, Saba Habibu akizungumza jambo kabla ya kupokea pesa hizo
Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi msemaji wa
kikundi cha Sanaa cha K & S Alt Vision cha Temeke Jijini Dar es
Salaam, Pesa Taslim Tsh. Milion 3, Saba Habibu, kwa maandalizi ya
kuandaa Filamu inayoitwa Kwanini Rafiki Yangu? ambapo leo wanaanza
safari kwenda Mkoa wa Pwani Bagamoyo katika Kijiji cha Kaole ambapo
wataweka kambi kwa ajili ya kazi hiyo, wa Pili kulia ni Diwani wa Kata ya
Kilakala, Amiri Osama na watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kikundi
hicho, Edwin Mgoli
Msemaji
wa kikundi hicho, Saba Habibu akitoa shukurani kwa aliyekuwa Mbunge wa
Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu kwa niaba ya kikundi hicho
Diwani
wa Kata ya Kilakala Amiri Osama akitowa shukurani kwa niaba ya kikundi
hichokwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu Dar es Salaam.
Mtemvu katika Picha ya pamoja na Kikundi cha Sanaa cha K& S Alt Vision.
Msemaji
wa kikundi hicho akizungumza kwa niaba ya kikundi hicho cha Sanaa cha
K& S Alt vision mara baada ya kupokea Pesa Tsh. Milioni 3 toka kwa
aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke,
Abbas Mtemvu, Saba Habibu, alisema anamshukuru Mtemvu kwa moyo wakujitolea
Mtemvu
anamoyo wa dhati na ukizingatia amepita katika kipindi kigumu cha mpito
hakuweza kuwaangusha kwakuwa na msimamo wa kuwasaidia, aliendelea
kusema Saba Habibu,
Mtemvu
alikuwa akimsihi msemaji huyo kama mwanaye wa kumzaa kwamba ahadi yake
ataitimiza kama alivyo itowa kwa kundi lake ipo palepale haijalishi
popoteatapokuwa ataitowa kwa kukamilisha ahadi yake kwani aliitowa kwa
ridhaa yake na moyo wake yeye kama yeye atawasaidia,
kauli
hiyo iliendelea kunipa faraja msemaji wa kikundi hicho Saba Habibu
alisema na akiendelea kusema, hata hivyo anawashukuru Wasanii wenzake
kwa kumuamini wakati alipokuwa akifanya mawasiliano na Mtemvu. msemaji
huyo alisema,
tumeomba
na tumefarijika kwa msaada huu na tunamuahidi hatutomuangusha kwa kile
tulichokiomba tutakifanyia kazi kwa nguvu zao zote na kwauadilifu
mkubwana kwa unyenyekevu mkubwa hadi kufikia malengo yao na mwisho
akasema Mungu awaongoze.
Diwani wa Kata ya Kikalaka,
akizungumza
kwa kumpongeza kwa moyo wake anao endelea nao kwa kusaidia vikundi
vingi na haijawahi tokea kwa Mbunge mwenyekusaidia vikundi vingi kama
mwenzetu, rafikiyetu, kaka yetu, ambaye amesaidia Vikundi vingi na
vijana wengi kwa kuwasaidia kwa hali na mali na kuwa begakwabega na
kumtia moyo na kumuombea Dua kwa mwenyeezi mungu ili aweze kuwasaidia
vijana wa temeke,
Diwani
huyo akasema, waswahili husema kutowa ni moyo wala si utajiri na wala
si tajiri sana bali nikuwa na moyo kuwasaidia vijana wetu wa Jimbo la
Temeke,
Hivyo
tuzidi muombea Dua kwa mwenyeezi Mungu ampe maisha marefu na mungu
amjalie aweze pata riziki na maisha mema na tutaendelea kumkumbuka daima
dumu. (Amin)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269