Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta
‘Tukio
limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda mfupi umeme ukakatika baadae
nikasikia friji zinatikisika kompresa muda kidogo nikaona moshi unatokea
vyumbani nikajua majirani kunavitu wanachoma mara moshi ukazidi
nikafungua mlango kwenda vyumbani nikakumbana namoshi ukanirudisha
nikajua kunamoto nikatoka nje kupiga kelele basi majirani wakaja kuanza
kuzimazima baada ya saa moja fire ndio wakaja kuanza kushrikiana na
wananchi lakini it was to lets namshukuru mungu familia iko salama”
>>> Rutta
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269