Makamo Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa visiwa hivyo,
Dkt.Ali Mohammed, Shein,(katikati), akiongoza kikao cha Kamati Maalum
ya CCM visiwani humo kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya CCM,
Kisiwandui, mjini Unguja leo Desemba 27, 2015. Hakuna taarifa rasmi
iliyotolewa kuhusu nini hasa kilichojiri kwenye mkutano huo, ingawa
taarifa za ndani zinaeleza kuwa, Dkt.Shein aliwasilisha ripoti ya
maendeleo ya mazungumzo ya kamati maalum inayoongozwa na yeye(Rais),
kusaka suluhisho la mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar kufuatia
uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015 ambapo matokeo yalifutwa na Mwenyekiti
wa tume ya uchaguzi, Zanzibar, (ZEC).Kushoto ni makamu wa Rais wa
Tanzania, Samia Suluhu Hassan na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM,
Zanzibar, Vuai Ali Vuai.(Picha na Ikulu ya Zanzibar).
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinuliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269