Naibu
waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi,Utumishi na Utawala Bora Selemani
Jaffo akikagua mabweni katika chuo cha Hombolo mjini Dodoma ili kujionea
maendeleo ya chuo hicho
Naibu
waziri Ofisi ya Rais Tamisemi,Utumishi na Utawala bora Selemani
Jafo akizungumza na Wafanyakazi wa Mfuko wa Penseni wa Lapf leo
alipofanya ziara katika ofisi hizo,ziara hiyo nimwendelezo wa Naibu waziri
kutembelea idara zilizo chini ya Wizara hiyo
Naibu waziri akitembelea ofisi za LAPF, mjini Dodoma
Picha ya pamoja na watumishi wa LAPF, DODOMA
Naibu waziri akiwa na wafanyakazi wa bodi ya Mikopo, Tamisemi mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269