Watoto wa Chuo waliowahi kuishi chuoni hapo wakiwa kwenye picha ya pamoja hakika hii ilikuwa ni party ya nguvu.
Watoto wa chuo waliokuwa wakiishi katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakati wazazi wao wakiwa ni wahadhiri
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Ili kuweka ukaribu watoto hao
wamekutana na kufanya party ya nguvu hivi karibuni katika viwanja vya
UDSM hii ikiwa ni kurudisha ukaribu pamoja na kufahamiana kwa wale
waliopotezana miaka kadhaa chuoni hapo.
Hakika ilikuwa ni siku ya furaha maana watu walikuwa wanakumbushana mambo ya miaka ya 90 kwani kipindi hicho walikuwa wadogo.
Watoto
wakiendelea kucheza wakati wa party ya watoto walioishi chuoni hapo
kipindi wazazi wao bado ni waalimu katika chuo cha UDSM
Full Happy kwa kila tu aliyefika katika Party hiyo.
Watoto
wa wahadhiri wa UDSM wakibadilishana mawazo kwenye party ya
kuwaunganisha pamoja kama wanafamilia wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM).
Hakika
watoto walikuwa waki-enjoy vya kutosha maana hakuna aliyeboreka kwani
kulikuwa na kila aina ya michezo kwa watoto wa rika zote.
Baadhi ya watoto wakiwa wametokelezea kwenye ukodak.
Baadhi
ya watoto walioishi Chuoni UDSM wakiangalia vitabu pamoja na kununua
vitabu hii ikiwa ni kundeleza utamaduni wa kujisomea.
Hakika ilikuwa shangwe kwa watoto walioishi chuoni hapo wakati wazazi wao ni wahadhiri chuoni hapo
Hivi ni Baadhi ya vitabu vilivyokuwa vinauzwa wakati wa Party hiyo iliyofanyika chuoni hapo.
Muda wa kuserebuka ulifika sasa kila mtu akaanza kuonesha umahiri wake kwenye kulisakata Rhumba.
Watoto wa Chuo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza party yao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269