Watu 12, wamefariki dunia, huku wenhine 45 wakijeruhiwa katika ajali ya
barabarani iliyotokea kijiji cha Igemi kata ya Mahenge wilayani Kilolo
mkoa wa Iringa Desemba 18, 2015. Kwa muji wa kanda wa POLISI mkoa wa
Iringa, Peter Kakamba, amesema ajali hiyo ilitokea majira ya SAA name
mchana, ambapo basi LA kampuni ya New Force aina ya Yutong namba
T483CTF, likitokea Dar es Dalaam kuelekea Tunduma, lilipofika eneo la
Igemi barabara ya Itinga-Morogoro, liligongana na Lori aina ya Scania
namba T616DEF kisha kupinduka. Majeruhi wamelazwa kwenye hospitali ya
Ilula km 45 kutoka eneo LA ajali na engine wamepelekwa hospitali ya mkoa
wa Iringa.
Your Ad Spot
Dec 19, 2015
Home
Unlabelled
WATU 12 WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCES
WATU 12 WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCES
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269