Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia
wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang wakisaini Hati ya Makubaliano ya
ushirikiano katika masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama wa Raia kati
ya Wizara hizo mbili, katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Kitengo
cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto), wakibadilishana Hati za Makubaliano ya
Ushirikiano waliosaini na Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa
Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang, katika hafla iliyofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na
Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto), akimpa zawadi ya kinyago Naibu Waziri wa
Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang, mara
baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya wizara hizo
mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa
Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang, mara
baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara hizo
mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (wa pili kushoto), akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa
Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang
(kulia), kabla ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya
Wizara hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu, Mbarak
Abdulwakil. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (watano kulia-mstari wa mbele), Naibu Waziri wa Wizara
ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang (watano
kushoto-mstari wa mbele), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mbarak Abdulwakil (watatu kulia-mstari wa mbele) wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya Mawaziri hao kumaliza kusaini Hati ya
Makubaliano ya ushirikiano kati ya wizara hizo mbili. Tukio hilo
lilifanya katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam
leo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269