Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (katikati), akizungumza jambo wakati wa ziara hiyo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSA)
Waziri Mkuu, mh.Kassim Majaliwa, (katikati), akiwa na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mh.George Simbachawene(kulia),
akishuka kutoka ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa usafiri wa haraka
jijini Dar es Salaam (DART), alipotembelea miundombinu na maeneo kadhaa
yahusuyo mradi huko jijini Dar es Salaam, .(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269