Waziri
MkuuKassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania, Askofu Frederick Shoo kwenye kanisa Kuu la KKKT mjini Moshi Januari
31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT
Mstaafu Alex Malasusa baada ya ibada ya kumuingiza kazini Askofu Shoo
iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguza katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo
iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016
Baadhi
ya waalikwa walioshiriki katika ibada ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo iliyofanyika
kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari 31, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha aliyopewa na Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheli,Askofu Frederck Shoo katika ibada ya kumuingiza
kazini askofu huyo ilyofanyika kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Moshi Januari
31, 2016
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269