Waziri Mkuu, Kassim Majalaiwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi, ofisini kwake jijini Dar es
salaam (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya mazungumzo yao
Ofisini kwake jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269