SHULE
ya sekondari Kaizirege iliyoko mkoani Kagera, imeibuka tena kidedea baada ya
kuongoza kitaifa kwa kutoa wanafunzi wengi waliofaulu kwa alama za juu kwenye
mtihani wa taifa wa Kidato cha Nne 2015.
Matokeo
hayo yalitengazwa Februari 18, 2016 na Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Charles
Msonde na kusema utaratibu wa kupanga matokeo umetumika ule wa Divisheni badala
ya ule wa GPA.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269