UKUMBI WA LITOSTAR PARK MBEZI SALASALA WAZINDULIWA
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi
Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa
waliofika kwenye uzinduzi rasmi wa ukubi huo uluoko Mbezi Salasala
katika hafla iliyofanyika ukumbini hapo na kuhudhuriwa na waalikwa
mbalimbali kutoka makampuni na watu binafsi ili kujumuika pamoja na
kufurahia ukumbi huo wenye mandhari ya kipekee umezinduliwa hivi
karibuni jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi
Salasala Bw. Thomas Mbega akimshukuru mungu kwa kumfikisha hapo
alipofikia na kumshukuru mjenzi wa jengo hilo pamoja na wafanyakazi na
wageni waalikwa kwa jinsi ambavyo wamejali na kumsaidia katika shughuli
zake.
Bw. Borry Mbaraka kulia Meneja
Masoko na Mauzo Litostar Park Mbezi Salasala akipozi kwa picha na wadau
wa Litostar waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Victor Irengo na Mwenza wake pia walikuwepo katika hafla hiyo
Wageni waalikwa mbalimbali wakipata kinywaji katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakisikiliza
hotuba ya Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas
Mbega wakati apolikuwa akizungumza nao katika uzinduzi huo.
Vinywaji vya aina tofauti vinapatikana Litostar
Mandhari ya ukumbi wa Litostar unavyoonekana kwa ndani
LitoStar Park Mbezi Salasala unavyoonekana kwa nje.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269