Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la kukaangia samaki kwenye soko la
samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa
Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri
Mkuu alipata fursa ya kuzungumza na wakaanga samaki, wapaa samaki, mama ntilie
na wadau wengine wa soko hilo la kimataifa hapa nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati
alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati
alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki
la Feri akitokea ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam
kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya
ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu alipata fursa ya kuzungumza na wakaanga
samaki, wapaa samaki, mama ntilie na wadau wengine wa soko hilo la kimataifa
hapa nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269