MKUU wa mkoa wa Shinyanga, Anna Kilango Malecela (pichani), amekuwa muhanga wa kwanza wa ngazi ya ukuu wa mkoa, kufukuzwa kazi mapema na Rais Dk. Magufuli, bàada ya kuutangazia umma kuwa mkoani kwake hakuna watumishi hewa. Ikulu baada ya kusikia hivyo ikianzisha uchunguzi wake na kugundua kuwa Mkuu huyo wa mkoa "alikurupuka", kwani taarifa yake haikuwa ya kweli. Kufuatia mapungufu hayo, Leo April 11, 2016, Rais Magufuli ametangaza kutengua uteuzi wake kama Mkuu wa mkoa. Halikadhalika Katibu Tawala wa mkoa huo nae amefukuzwa kazi kwa kosa hilohilo, na uchunguzi dhidi yao umeanza.
Your Ad Spot
Apr 11, 2016
Home
Unlabelled
ANNE KILNGO MALECELA AFUTWA KAZI, IKULU YASIKITISHWA NA TAARIFA YA MAMA HUYO KUWA SHINYANGA HAKUNA MTUMISHI HEWA
ANNE KILNGO MALECELA AFUTWA KAZI, IKULU YASIKITISHWA NA TAARIFA YA MAMA HUYO KUWA SHINYANGA HAKUNA MTUMISHI HEWA
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269