Mmoja wa wananchi wa kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo, Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269