Katibu wa CCM wilaya ya Hanang, Kajoro Vyohoroka akimpeleka Ofisini, Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang leo akiwa njiani kwenda Singida
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka na kushoto ni Mjumbe wa NEC wa Kigoma, na Ofisa katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana kwa bashasha na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Manyara, alipowasili kwenye ofisi ya CCM ya wilaya hiyo leo
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM wa Wilaya ya Hanang, alipofika kwenye ofisi hiyo akiwa njiani kwenda Singida leo
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM alipowasili leo, Ofisi ya CCM mkoa wa Singia akiwa katika ziara ya kikazi
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akiongozwa na Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata kwenda ofisini kwake, katika Ofisi ya CCM mkoa huo leo
Msemaji Mkuu wa CCM, na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kaitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida (Martha Mlata (wapili kulia), alipowasili kwenye ofisi hiyo leo akiwa katika ziara ya kikazi. Watatu kulia ni Katibu wa CCM mkoa Mary Maziku na kushoto ni Mjumbe wa NEC Kigoma na Ofisa katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM Kilumbe Ng'enda.
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka akitoka katika Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Vijijini, Narumba Hanje kwenye ukumbi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii (FDC) mjini Singida alipowasili kuzungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Singida Mjini na singida Vijijini leo
Baadhi ya wajumbe wakiwa ukumbini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Martha Mlata akiteta jambo na Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda wakati wa kikao hicho
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akitoa maneno ya utangulizi kwenye kikao hicho
Msemaji Mkuu wa CCM Christophe Ole Sendeka akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata wakati wa kikao hicho
Mjumbe wa NEC wa Kigoma na Ofsa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Ole Sendeka kuzungumza katika kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singda Martha Mlata akimkaribisha kuzungumza, Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka wakati wa kikao hicho na wajumbe wa Halmashauri KUU ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo.
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo Picha zote na Bashir Nkoromo). PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269