Viongozi wa CCM wilaya ya Babati mkoani Manyara wakiwa tayari kumpokea Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Babati
Msemaji wa CCM, Mjmbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Babati mkoani Manyara
Katibu Mwenezi wilaya ya Babati mjini Reginard Sanga akizungumza maneno ya utangulizi kumkaribisha Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka alipofika katika Ofisi ya Wilaya hiyo
Katibu wa CCM, Babati Mjini Bernard Ghaty akizungumza, Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipofika katika Ofisi ya CCM wilaya ya Babati mjini mkoani Manyara
Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali akimkariisha kuzungumza Msemaji wa CCM, Ole Sendeka.
Mjumbe wa NEC Kigoma, Kilumbe N'genda akizungumza kabla ya Msemaji wa CCM aliyefuatana naye, Ole Sendeka hajazungumza
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti wa CCM Wilaya ya Babati mkoani Manyara
Msemaji wa CCM Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM wilaya ya Babati mjini
Msafara wa Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka ukienda Ofisi ya CCM mkoa wa Manyara baada ya kuzungumza na Sekretarieti ya CCM wilaya ya Babati Mjini
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akikagua jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Manyara, lililoungua moto hivi karibuni, alipofika kwenye Ofisi hiyo kuzungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Babati Mjini na Vijijini mkoani humo
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiingia ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Manyara kuzungmza na wajube wa Hamashauri Kuu ya CCM katika wilaya za Babati mjini na Vijijini mkoani Manyara
Sendeka baada ya kuwasili ukumbini
Meza kuu na wajumbe wakiwa ukumbini
Katibu wa CCM wilaya ya Hanang, Vyohoroka, akiwa na wajumbe wenzake kwenye kikao hicho. Hanag walialikwa kwa nafasi ya wajumbe wa Sekretarieti wa wilaya hiyo.
Wajumbe wakiwa ukumbini
Meza kuu wakiwa ukumbini
Meza kuu na wajumbe wakiwa ukumbini
Katibu Mwenezi wialaya ya Babati mjini Reginard Sanga akizungumza katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Babati Vijijini Abdallah Soki akizungumza na kikao hicho |
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akizungumza kwenye kikao hich
Wanachi wakimshangiia Msemji Mkuu wa CCM Ole Sendeka
Ole Sendeka akimpokea mwanachama mpya aliyehamia CCM kutoka Chadema
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Olee Sendeka akiwatambulisha wagombea wa Uchaguzi mdogo katika kata ya Mji Mpya Wilayani Babati Mjini mkoani Manyara wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya CCM Tawi la Mji Mpya wilayani humi. Wanaonadiwa kutoka kushoto ni Mgombea wa Uenyekiti wa mtaa wa Mji Mpya wa Seif Marwa, Kuruthum Hassan (Ujumbe Viti maalum Mji Mpya), Abubakar Gwandu (Ujumbe mtaa wa Komoto), na Ramadhani Salum mtaa wa Bagala Ziwani.
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akifunguka hatua kwa hatua wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika ofisi ya CCM tawi la Mji Mpya wilaya ya Babati mjini mkoani Manyara
Mjumbe wa NEC mkoani Kigoma na Ofisa katika Idara ya Itkadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akihutubia katika mkutano huo
Mwenyekiti wa CCM, tawi la mji Mpya akifunga kikao baada ya Ole Sendeka kuzungumza
Ole Sendeka akikabidhi mchango wake wa sh. 100,000 kwa ajili ya CCM tawi la Mji Mpya
Msemaji wa CCM Chrstopher Ole Sendeka akimsaimia mwanafunzi wa shule ya Msingi Masaki wiayani Babati mkoani Manyara, Ahmedi Rashud baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika Ofisi ya CCM Tawi la Mji Mpy Babati mkoani Manyara
Msemaji wa CCM, Christpher Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya mkutano wa hadhara uliofanyka Ofisi ya CCM, uiofanyika Ofisi ya CCM tawi la Mji Mpya, wilaya ya Babati mjini mkoani Manyara. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269