Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan,
Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mai 19, 2016. Kutoka kushoto ni Al -
Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurji. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa
Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan baada yamazungumzo yao ofisini
kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016. Wengine pichani kutoka
kushoto ni Al - Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel Lugallo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkluu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269