Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano
wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa
na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) uliofanyika kwenye
ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa LAPF jijini Dar es salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi
ya Wasomi wakimsikiliza Makamu wa Rais. Samia Suluhu Hassan wakati
akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi
kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na
Tiba Muhimbili (MUHAS)uliofanyika jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari mara
baada ya kufungua mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na
nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili
(MUHAS) uliofanyika
jijini Dar es salaam.
makamu mkuu wa chuo cha Sayansi na Tiba Muhimbili (Muhas) Profesa Ephata Kaaya akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na viongozi pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba
mara baada ya kufungua mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka
ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba
Muhimbili (MUHAS) uliofanyika leo Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269