Kamanda
wa Vijana Abbas Mtemvu akizungumza jambo wakati wa hafla fupi wakati wa
kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa makundi maalum, Dar es salaam
leo, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Temeke, Ahmadi Mnamala na
kushoto ni Diwani wa Kata ya Miburani, Juma Mkenga
Mtemvu akisalimiana na walezi wa watoto wa makundi maalum wakati alipowasili katika hafla hiyo.
Diwani wa Kata ya Miburani, Mkenga akizungumza jambo wakati wa hafla yiho
Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Temeke, Ahmadi Mnamala akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo
Pichani ni Mafuta na vyakula mbalimbali
Mtemvu akimkabidhi mafuta ya kula, Jasmini John pamo na Vitu mbalimbali vya nafaka ikiwemo, mchele, sukari na ngano
Kamanda
wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu
akitoa msaada wa vyakula kwa ajili ya Sikukuu ya Idd kwa vituo vya
watoto yatima Jijini leo
PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269